Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma Qur-aan kwa pamoja kwa sauti moja na khaswa siku ya ijumaa kabla ya imamu kuingia?

Jibu: Haijuzu kufanya hivo. Jengine ni kuwa kukhusisha hilo siku ya ijumaa kabla ya imamu kuingia ni Bid´ah iliyozushwa.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/342-343)
  • Imechapishwa: 23/08/2020