Swali: Je, inajuzu kusoma Qur-aan tukufu kwa ambaye anaegemea, amesimama au anatembea?
Jibu: Inajuzu kufanya hivo. Asli ni kujuzu. Hakukuthibiti dalili yenye kukataza. Allaah (Ta´ala) amesema akiwasifu werevu:
الَّذِينَ يَذْكُرُونَ اللَّـهَ قِيَامًا وَقُعُودًا وَعَلَىٰ جُنُوبِهِمْ
“Ambao wanamdhukuru Allaah kwa kusimama, na kwa kukaa na kwa kulala ubavuni mwao.” (03:191)
Kusoma Qur-aan ni miongoni mwa Dhikr.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (4/106)
- Imechapishwa: 22/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket