Swali: Mimi kila asubuhi ninasoma Qur-aan na wakati huohuo kunakuwa na kanda inayosoma Qur-aan. Je, inajuzu kufanya hivo?
Jibu: Ndio, inajuzu kwako kusoma Qur-aan midhali sauti ya kanda haikushughulishi na kusoma na kuzingatia yale unayoyasoma.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (4/104)
- Imechapishwa: 22/08/2020
Swali: Mimi kila asubuhi ninasoma Qur-aan na wakati huohuo kunakuwa na kanda inayosoma Qur-aan. Je, inajuzu kufanya hivo?
Jibu: Ndio, inajuzu kwako kusoma Qur-aan midhali sauti ya kanda haikushughulishi na kusoma na kuzingatia yale unayoyasoma.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (4/104)
Imechapishwa: 22/08/2020
https://firqatunnajia.com/kusoma-qur-aan-na-huku-mtu-anafuatilia-kaseti/