Swali: Ni ipi hukumu ya kubeba jeneza na huku kunaimbwa Anaashiyd ya al-Burdaa ya al-Buuswiyriy na kula chakula cha wafiwa?
Jibu: Kusoma Qaswiydah ya al-Burdaa au kitu kingine katika Qur-aan au Anaashiyd mbele ya jeneza ni Bid´ah iliyozushwa. Hivyo imekatazwa. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mwenye kuzua katika dini yetu hii yasiyokuwemo atarudishiwa mwenyewe.”
“Mwenye kufanya kitendo kisichokuwa ndani yake dini yetu atarudishiwa mwenyewe.”
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (3/72)
- Imechapishwa: 23/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket