Kusema “Karrama Allaahu wajhah” Kwa ´Aliy Halina Asli

Swali: Ni upi usahihi wa maneno yao:

كرم الله وجهه

“´Aliy Allaah aukirimu uso wake.”?

Jibu: Hakuna msingi kwa kukhusisha hilo kwa ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh). Huko ni kuvuka mipaka kwa watu wa madhehebu ya Shiy´ah.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (3/69-70)
  • Imechapishwa: 23/08/2020