Swali: Je inajuzu kwa mwanamke kafiri kuolewa na muislamu mwanaume? Je, inajuzu kwangu kuwaozesha? Ni zipi sharti za ndoa kwa Ahl-ul-Kitaab?
Jibu: Ahl-ul-Kitaab ikiwa wana kitabu, bi maana mayahudi na manaswara, akataka muislamu kumuoa mwanamke katika Ahl-ul-Kitaab anaweza kufanya hivyo.
- Muhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alnajmi.net/voices.php?action=show&id=54
- Imechapishwa: 22/09/2020
Swali: Je inajuzu kwa mwanamke kafiri kuolewa na muislamu mwanaume? Je, inajuzu kwangu kuwaozesha? Ni zipi sharti za ndoa kwa Ahl-ul-Kitaab?
Jibu: Ahl-ul-Kitaab ikiwa wana kitabu, bi maana mayahudi na manaswara, akataka muislamu kumuoa mwanamke katika Ahl-ul-Kitaab anaweza kufanya hivyo.
Muhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alnajmi.net/voices.php?action=show&id=54
Imechapishwa: 22/09/2020
https://firqatunnajia.com/kushiriki-katika-ndoa-ambayo-muislamu-anamuoa-myahudi-au-mnaswara/