Hukumu ya kuoa kati ya ´iyd mbili

Swali: Kuko watu wanaosema kuwa inachukiza kuoa kati ya ´iyd mbili. Ni yapi maoni yako kuhusu hilo?

Jibu: Hapana, haichukizwi.

Swali: Hakuna mapokezi yaliyothibiti kuhusu hilo?

Jibu: Hapana.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (224)
  • Imechapishwa: 22/09/2020