Kushiriki katika ndoa ambayo muislamu anamuoa myahudi au mnaswara

Swali: Je inajuzu kwa mwanamke kafiri kuolewa na muislamu mwanaume? Je, inajuzu kwangu kuwaozesha? Ni zipi sharti za ndoa kwa Ahl-ul-Kitaab?

Jibu: Ahl-ul-Kitaab ikiwa wana kitabu, bi maana mayahudi na manaswara, akataka muislamu kumuoa mwanamke katika Ahl-ul-Kitaab anaweza kufanya hivyo.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alnajmi.net/voices.php?action=show&id=54
  • Imechapishwa: 22/09/2020