Swali: Mtu akikusanya kati ya wudhuu´ na josho pengine akagusa tupu yake baada ya kutawadha.
Jibu: Asiguse. Atambe kabla na inatosha. Atambe na aoshe sehemu zake za siri kabla. Kisha bora atawadhe hapo kabla wudhuu´ wa swalah. Ikiwa hakutawadha na akanuia josho na wudhuu´ vyote kwa pamoja inasihi kwa mujibu wa jopo la wanazuoni. Kwa maana nyingine hadathi ndogo inaingia katika hadathi kubwa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23335/ما-كيفية-الجمع-بين-الوضوء-والغسل
- Imechapishwa: 28/12/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)