Ruhusa kula na kunywa kwa kusimama, lakini bora ni kuketi chini

Swali: Ni ipi hukumu ya kula kwa kusimama?

Jibu: Hapana vibaya kula na kunywa kwa kusimama. Hata hivyo bora ni kwa kuketi chini.

Swali: Unakusudia kula peke yake?

Jibu: Kukaa ndio bora zaidi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23333/ما-حكم-الاكل-قاىما
  • Imechapishwa: 28/12/2023