Kutumia baadhi ya vyakula katika kuondosha harufu mbaya mwilini

Swali: Nchini Sudan baadhi ya wanawake hutumia baadhi ya vyakula, kama unga, katika manukato katika kuondosha harufu mbaya. Je, kuna makatazo yoyote ya Kishari´ah?

Jibu: Hapana neno.

Mwanafunzi: Hakuna ubaya?

Ibn Baaz: Ni kwa lengo la dawa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23336/حكم-استعمال-الطعام-لازالة-رواىح-الجسم
  • Imechapishwa: 28/12/2023