195 – ´Uthmaan bin ´Affaan (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

مَن أتمَّ الوُضوءَ كما أمرَهُ اللهُ؛ فالصلواتُ المكتوباتُ كفاراتٌ لما بينهنّ

“Yule mwenye kukamilisha wudhuu´ kama alivyomwamrisha Allaah, basi swalah za faradhi ni kifutio cha madhambi kwa yaliyo kati yake.”[1]

Ameipokea an-Nasaa´iy na Ibn Maajah kwa cheni ya wapokezi Swahiyh.

[1] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/197)
  • Imechapishwa: 28/12/2023
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy