Swali: Ni upi usahihi wa maneno yao:
كرم الله وجهه
“´Aliy Allaah aukirimu uso wake.”?
Jibu: Hakuna msingi kwa kukhusisha hilo kwa ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh). Huko ni kuvuka mipaka kwa watu wa madhehebu ya Shiy´ah.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (3/69-70)
- Imechapishwa: 23/08/2020
Swali: Ni upi usahihi wa maneno yao:
كرم الله وجهه
“´Aliy Allaah aukirimu uso wake.”?
Jibu: Hakuna msingi kwa kukhusisha hilo kwa ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh). Huko ni kuvuka mipaka kwa watu wa madhehebu ya Shiy´ah.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (3/69-70)
Imechapishwa: 23/08/2020
https://firqatunnajia.com/kusema-karrama-allaahu-wajhah-kwa-aliy-halina-asli/