Swali: Je, ni miongoni mwa mfumo wa Ahl-us-Sunnah kutumia dalili za kiakili wakati wa kuwaraddi Ahl-ul-Bid´ah?

Jibu: Tunatumia dalili za kiakili na dalili za Qur-aan. Tunatumia dalili kwa yote mawili. Hatushiki limoja. Zote ni dalili na hoja na himdi zote ni za Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (30) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-6-8.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020