Swali: Je, inajuzu kupita kati ya safu na mbele ya mtu ambaye amepitwa na Rak´ah kwa kutumia hoja ya kitendo cha Ibn ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anhumaa) ya kwamba alipita mbele…
Jibu: Sutrah ya imamu inatosheleza Sutrah ya maamuma. Sutrah ya imamu inatosheleza kwa safu zote [za nyuma kwa maamuma]. Wakati wa haja inajuzu kupita kati ya safu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (76) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-11-12.mp3
- Imechapishwa: 22/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket