Swalii: Je, inafaa kupeana mkono na kusafiri na dada yake mke kwa madai kwamba ameharamika kwangu kumuoa kwa kipindi fulani?
Jibu: Hapana, sio Mahram yako. Haijalishi kitu hata kama ni haramu kwako sio Mahram yako. Kwa hivyo usisafiri naye.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
- Imechapishwa: 10/08/2023