Mtoto wa kiume kumuoa dada yake na mke wa pili wa baba

Swali: Mimi nimeoa wanawake wawili na mwanangu anataka kumuoa dada yake mke wangu wa pili. Je, inafaa?

Jibu: Ndio, hapana vibaya. Inafaa kwa baba akamuoa mwanamke na mtoto wake wa kiume akamuoa dada yake huyo mwanamke. Hapana vibaya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
  • Imechapishwa: 10/08/2023