Swali: Je, ni sahihi kwamba katika madhehebu ya Hanaabilah wanaona kuwa ndoa ya mitala inachukiza? Wanawake wengi wanataja jambo hili na wanalinasibisha na madhehebu.

Jibu: Ndio mambo yao. Ndio mambo ya wanawake. Sio maoni ya madhehebu. Haya ni madhehebu yao wao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
  • Imechapishwa: 10/08/2023