Anataka kuvunja ndoa ya mwanamke aliyepatwa na jini

Swali: Nilimuoa mwanamke kisha baada ya kipindi fulani ikanibainikia kuwa amepatwa na jini. Je, inafaa kwangu kuifuta ndoa na anirudishie mahari yangu kwa sababu nimetiwa mchanga wa machoni?

Jibu: Hili linaamua hakimu kama nilivosema. Rejeeni mahakamani.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
  • Imechapishwa: 10/08/2023