Swali: Kuna mtu anataka kuongeza Adhkaar kutoka kwake katika Adhkaar za asubuhi na jioni.
Jibu: Midhali haziendi kinyume na Adhkaar zilizothibiti katika Qur-aan na Sunnah, ni sawa. Kukithirisha Adhkaar na du´aa ni sawa kwa sharti mtu asileti kitu kinachoenda kinyume na Qur-aan na Sunnah. Iwe ni Adhkaar zenye kuafikiana na Qur-aan na Sunnah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (51) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-10-11.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Kuna mtu anataka kuongeza Adhkaar kutoka kwake katika Adhkaar za asubuhi na jioni.
Jibu: Midhali haziendi kinyume na Adhkaar zilizothibiti katika Qur-aan na Sunnah, ni sawa. Kukithirisha Adhkaar na du´aa ni sawa kwa sharti mtu asileti kitu kinachoenda kinyume na Qur-aan na Sunnah. Iwe ni Adhkaar zenye kuafikiana na Qur-aan na Sunnah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (51) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-10-11.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/kuongeza-juu-ya-adhkaar-za-asubuhi-na-jioni/