Swali: Ni ipi hukumu ya muombaji kuomba kufanyiwa mbio mahitajio yake kama kwa mfano kusema “Ee Allaah! Niharakishie faraja au kadhaa?”
Jibu: Ikiwa ametenzwa nguvu hakuna neno akamuomba Allaah amharakishie. Ama ikiwa hakutenzwa nguvu amuachie mambo Allaah (´Azza wa Jall). Huenda kucheleweshewa kwake ni bora kuliko kuharakishiwa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/montaqo-17-10-1434_1.mp3
- Imechapishwa: 19/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket