Kutaka ushauri kati ya wanawake wawili wa kuoa

Swali: Nina wanawake wawili ambao nimeletewa nioe. Je, niswali swalah ya Istikhaarah kwa kila mmoja au nifanye nini?

Jibu: Inatosheleza swalah ya Istikhaarah moja. Taka ushauri ni mwanamke yupi ambaye ni bora kwako. Huku ni kushuku baina ya mambo mawili, wanawake wawili ina ni baina ya mambo mawili.

Check Also

Kaoa mwanamke wa Ahl-ul-Kitaab ambaye hataki kuingia katika Uislamu

Swali: Nimeoa mwanamke wa Ahl-ul-Kitaab kabla ya kuwa na msimamo, na nimepewa fatwa na baadhi …