Kuomba kuharakishiwa jambo katika du´aa

Swali: Ni ipi hukumu ya muombaji kuomba kufanyiwa mbio mahitajio yake kama kwa mfano kusema “Ee Allaah! Niharakishie faraja au kadhaa?”

Jibu: Ikiwa ametenzwa nguvu hakuna neno akamuomba Allaah amharakishie. Ama ikiwa hakutenzwa nguvu amuachie mambo Allaah (´Azza wa Jall). Huenda kucheleweshewa kwake ni bora kuliko kuharakishiwa.

Check Also

Du´aa inairudisha Qadar?

Swali: Je, du´aa inarudisha Qadhwaa? Jibu: Allaah ameweka du´aa na akaiamrisha. Amesema (Ta´ala): وَقَالَ رَبُّكُمُ ادْعُونِي …