Kuna Suurah maalum katika swalah ya Istikhaarah?

Swali: Je, imethibiti kuwa kunasomwa Suurah maalum katika swalah ya Istikhaarah?

Jibu: Sijui lolote kuhusu hili. Jambo hili ni pana. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakuweka Suurah maalum.

Check Also

Ni lini inafaa kuswali Istikhaarah?

Swali: Kuswali Istikhaarah inakuwa pale mtu anapokuwa ni mwenye kusita kati ya mambo mawili au …