Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kwenda kwenye kaburi la baba yake kumtembelea na wakati wa kumuombea du´aa ananyanyua mikono yake pembezoni mwa kaburi na huku ameelekea Qiblah?
Jibu: Ni sawa kufanya hivo. Ni sawa kunyanyua mikono wakati wa kumuombea du´aa kwa kuwa kufanya hivi ni miongoni mwa sababu za kuitikiwa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket