Kumpa zawadi mfanyakazi mwenzio

Swali: Ni ipi hukumu ya kumpa rafiki yangu kazini au yeye akanipa zawadi?

Jibu: Ikiwa hana idara, bali yeye ni mfanyakazi tu kama wengine, ni sawa kwa kuwa ndani yake hakuna makatazo yoyote. Rushwa ni kumpa kiongozi au yule msimamizi wa kazi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020