Kunyanyua mikono wakati wa kumuombea maiti kaburini

Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kwenda kwenye kaburi la baba yake kumtembelea na wakati wa kumuombea du´aa ananyanyua mikono yake pembezoni mwa kaburi na huku ameelekea Qiblah?

Jibu: Ni sawa kufanya hivo. Ni sawa kunyanyua mikono wakati wa kumuombea du´aa kwa kuwa kufanya hivi ni miongoni mwa sababu za kuitikiwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020