Swali: Ambaye anaswali sunnah na kukatajwa jina la Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amswalie?
Jibu: Akipitia jina la Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) katika kisomo chake ndani ya swalah amswalie kwa siri. Ama akimsikia mtu nje ya swalah anamtaja Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) asimswalie ndani ya swalah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (37) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-1-25.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Ambaye anaswali sunnah na kukatajwa jina la Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amswalie?
Jibu: Akipitia jina la Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) katika kisomo chake ndani ya swalah amswalie kwa siri. Ama akimsikia mtu nje ya swalah anamtaja Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) asimswalie ndani ya swalah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (37) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-1-25.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/kumswalia-mtume-ndani-ya-swalah/