Kugusa mwili wa mwanamke wakati wa Ruqyah

Swali: Je, inajuzu kwa msomaji Ruqyah kugusa mwili wa mwanamke anayemsomea?

Jibu: Ni haramu hili. Haijuzu kwake kumgusa mwanamke. Amsomee na asimsomee. Mwanamke awe amevaa Hijaab na awepo walii wake [mwanamke].

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (37) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-1-25.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020