Kumpa mfanyakazi mshahara kutegemea na asilimia ya faida

Swali: Mmiliki wa duka ana mfanyakazi anayemfanyia kazi na akamwambia kuwa mshahara wake unatokana na asimilia ya faida. Kwa mfano akipata faida ya 5% au 10 % basi mshahara wake unakuwa ni asimilia ya faida hii. Kwa mfano kukipatikana faida ya SAR 1000 basi katika 1000 anapata 1000.

Jibu: Akiwa na mfanyakazi ambaye ana mshahara wa kawaida ambapo akaweka kwake bidhaa na akaiuza kwa nusu ya faida au kwa theluthi ya faida, hapana vibaya kwa sababu ni biashara inayotambulika na si kwamba haijulikani.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22325/حكم-اعطاء-الاجير-اجرته-بنسبة-من-الربح
  • Imechapishwa: 05/02/2023