Swali: Je, inajuzu kwa mtu kumfungia maiti aliyekufa na anadaiwa swawm ya faradhi kwa kiwango fulani cha pesa?
Jibu: Ni sawa kufanya hivo. Ikiwa hawakupata mwengine zaidi ya mtu wa kumfungia kwa kiwango fulani cha pesa, ni sawa kufanya hivo kwa kuchukua kwenye mali aliyoacha maiti au kwa mtu ambaye atamtolea kwa kufanya hivo.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (48) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-5-26.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Je, inajuzu kwa mtu kumfungia maiti aliyekufa na anadaiwa swawm ya faradhi kwa kiwango fulani cha pesa?
Jibu: Ni sawa kufanya hivo. Ikiwa hawakupata mwengine zaidi ya mtu wa kumfungia kwa kiwango fulani cha pesa, ni sawa kufanya hivo kwa kuchukua kwenye mali aliyoacha maiti au kwa mtu ambaye atamtolea kwa kufanya hivo.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (48) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-5-26.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/kumfungia-maiti-swawm-za-faradhi-kwa-pesa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)