Swali: Je, inajuzu kwa mtu kumfungia maiti aliyekufa na anadaiwa swawm ya faradhi kwa kiwango fulani cha pesa?

Jibu: Ni sawa kufanya hivo. Ikiwa hawakupata mwengine zaidi ya mtu wa kumfungia kwa kiwango fulani cha pesa, ni sawa kufanya hivo kwa kuchukua kwenye mali aliyoacha maiti au kwa mtu ambaye atamtolea kwa kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (48) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-5-26.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020