Swali: Je, imeshurutishwa kulipia bidhaa papohapo au inafaa kwa mfano kuilipia mwishoni mwa mwezi?
Jibu: Hakuna neno. Malipo yanaweza ima kufanyika papohapo, mtu akaanza kulipa baada ya kuwa bidhaa hiyo amekwishaipokea au akalipia kabla kabla hajapokea bidhaa hiyo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
- Imechapishwa: 21/04/2021
Swali: Je, imeshurutishwa kulipia bidhaa papohapo au inafaa kwa mfano kuilipia mwishoni mwa mwezi?
Jibu: Hakuna neno. Malipo yanaweza ima kufanyika papohapo, mtu akaanza kulipa baada ya kuwa bidhaa hiyo amekwishaipokea au akalipia kabla kabla hajapokea bidhaa hiyo.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
Imechapishwa: 21/04/2021
https://firqatunnajia.com/kulipia-bidhaa-kabla-na-baada/