Swali: Katika nchi za makafiri pindi wanaposherehekea sikukuu zao wanapika chakula ambapo wanawaalika waislamu. Je, inafaa kula chakula hichi?
Jibu: Hapana, kwa sababu hiki kimepikwa kwa ajili ya sikukuu za makafiri. Unapokula chakula chao unawashaji´isha katika kitendo chao.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (29)
- Imechapishwa: 18/02/2022
Swali: Katika nchi za makafiri pindi wanaposherehekea sikukuu zao wanapika chakula ambapo wanawaalika waislamu. Je, inafaa kula chakula hichi?
Jibu: Hapana, kwa sababu hiki kimepikwa kwa ajili ya sikukuu za makafiri. Unapokula chakula chao unawashaji´isha katika kitendo chao.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (29)
Imechapishwa: 18/02/2022
https://firqatunnajia.com/kula-chakula-kilichopikwa-katika-sikukuu-za-kikafiri/