Swali: Sisi tuna ada nayo ni kwamba, anapofariki maiti wanawake hukutana na kukusanya pesa kiwango fulani na kumpa mwanamke mfiwa. Je, kitendo hichi kinajuzu?
Jibu: Ikiwa watu wa nyumba hii walofiwa ni mafukara na mnataka kuwasaidia, hili ni jambo zuri. Ama ikiwa ni matajiri, hapana kwa kuwa hakuna haja ya kufanya hivo. Itazingatiwa kuwa ni Bid´ah.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (36) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-1-18.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Sisi tuna ada nayo ni kwamba, anapofariki maiti wanawake hukutana na kukusanya pesa kiwango fulani na kumpa mwanamke mfiwa. Je, kitendo hichi kinajuzu?
Jibu: Ikiwa watu wa nyumba hii walofiwa ni mafukara na mnataka kuwasaidia, hili ni jambo zuri. Ama ikiwa ni matajiri, hapana kwa kuwa hakuna haja ya kufanya hivo. Itazingatiwa kuwa ni Bid´ah.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (36) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-1-18.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/kukusanya-pesa-na-kuwapa-wajane/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)