Swali: Mtu yuko ndani ya gari akapita kando na watu wako wanavuta sigara ambapo akawakemea na huku anaendelea na safari yake?
Jibu: Allaah amjaze kheri. Awaambie kitu hicho hakijuzu na ni haramu.
Swali: Awachukulie hatua?
Jibu: Hapana. Awaongoze na kuwawekea jambo wazi. Asimame na kuwaambia “Ndugu zangu wapenzi! Kitu hiki hakijuzu na sigara ni haramu” kama ambavo atawaambia “Kusengenya ni haramu na pombe ni haramu”. Awabainishie. Yeye sio mtekaji nyara. Ni lazima awe imara, asimame na kuwaonyeshe makosa yao na kuwafunza.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21691/كيفية-انكار-المنكر-ممن-راه-اثناء-قيادة-سيارته
- Imechapishwa: 17/09/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)