Fuga wanyama wako na usiwaudhi majirani

Swali: Mtu kufuga wanyama nyumbani kama mfano wa kuku na wanyamahoa ni katika kuwaudhi majirani?

Jibu: Hakuna mafungamano. Ajizuilie maudhi ya wanyama hao na kutakuwa hakuna neno. Awalee kuku na wanyama wengineo na hapana vibaya. Lakini ajizuilie kumuudhi jirani.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21694/هل-من-اذية-الجيران-تربية-الحيوانات
  • Imechapishwa: 17/09/2022