Jifunze Qur-aan na Sunnah badala ya kucheza

Swali: Je, inafaa kwa mwanamke kucheza kati ya wanawake wenzake peke yake?

Jibu: Mwanamke huyu ajifunze Qur-aan. Hebu ajifunze Qur-aan na aelewe kitu hiki. Mimi siwezi kusema kama inafaa kwake kucheza kwa sababu sijui ni kucheza kwa namna gani. Lakini hebu ajifunze Qur-aan na ajifunze Sunnah za Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Asiwe ni kitu cha kuchezea mikononi mwa wanawake kama mpiga mikononi mwa watoto.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Usrah https://godian.af.org.sa/sites/default/files/2017-10/ftawa-osrh-godian.mp3
  • Imechapishwa: 17/09/2022