Bi X amedondosha usiku wake kumpa bi Z

Swali: Je, mume anabeba dhambi kutoka kwa mke wake baada ya kumruhusu kutolala kwake wakielewana wao wawili na akadondosha usiku wake mmoja kwa kuridhia kwake mwenyewe?

Jibu: Hapati dhambi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Usrah https://godian.af.org.sa/sites/default/files/2017-10/ftawa-osrh-godian.mp3
  • Imechapishwa: 17/09/2022