Swali: Naomba uninasihi kwa sababu ni mimi ni dhaifu katika jambo la kuamrisha mema na kukataza maovu.

Jibu: Nasaha ni kwamba ufanye kile unachoweza. Fanya unachoweza katika kuamrisha mema na kukemea maovu ijapo kwa moyo, ambalo ndio jambo la mwisho kabisa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ta´liyqaat ´alaa Risaalah wujuub-il-´Amr bil-Ma´ruuf wan-Nahiy ´an al-Munkar (03)
  • Imechapishwa: 22/02/2024