Kukariri Swalah Ya Ijumaa Kwa Sababu Ya Ukosefu Wa Sehemu

Swali: Katika mji wangu kuna baadhi ya misikiti inaswali swalah ya ijumaa mara mbili, kwa kuwa msikiti ni mdogo na waislamu hawana sehemu nyingine isipokuwa hii tu. Je, inajuzu?

Jibu: Hili ni tatizo. Waswali sehemu nyingine katika mji. Wajigawe makundi mawili. Watoke sehemu hiyo na watafuta sehemu nyingine ambayo wanaweza kukodi au watafuta njia nyingine. Sioni kuwa inajuzu kuswali swalah ya ijumaa mara mbili sehemu na mahapa pamoja.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (5) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–01041434.mp3
  • Imechapishwa: 03/11/2016