Swali: Ni ipi hukumu ya kukariri swalah ya Istikhaarah kwa ajili ya jambo hilohilo?
Jibu: Hapana vibaya. Ukiomba na bado hujabainikiwa basi inafaa ukaswali na ukaomba du´aa mara ya pili mpaka ubainikiwe. Kariri Istikhaarah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14041434.mp3
- Imechapishwa: 27/03/2023