Swali: Je, inapendeza kukariri adhaana inayotolewa kwenye redio?

Jibu: Ndio, ni vizuri na ni utajo wa Allaah (´Azza wa Jall). Kariri pamoja naye na soma du´aa baada yake. Hapo ni pale ambapo adhaana ni ya moja kwa moja na sio iliyorekodiwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
  • Imechapishwa: 01/09/2023