Swali: Inajuzu kujenga msikiti kwa pesa ya miraa?

Jibu: Haijuzu kujenga msikiti kwa mali ya haramu. Haijuzu kujikurubisha kwa Allaah kwa mali ya haramu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (69) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-05-28.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020