Swali: Baba yangu ambaye ni kafiri ananipa hongera kwa sikukuu miongoni mwa sikukuu zao na huku anasubiri nimjibu kwa hongera hii. Je, nimjibu?

Jibu: Hapana, usimjibu. Haya ni maovu. Hakutolewi hongera kwa sikukuu za makafiri kwa kuwa ni sikukuu ambazo hazikuwekwa katika Shari´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (69) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-05-28.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020