Kuitikia salamu wakati wa Rukuu´ na Sujuud

Swali: Namna ya kuitikia salamu wakati mtu anapokuwa katika Sujuud au Rukuu´.

Jibu: Akiinua kichwa chake aashirie kwa mkono wake.

Swali: Hali ya kuwa amesujudu?

Jibu: Akiinua kichwa chake kutoka katika Sujuud aashirie mkono wake.

Muulizaji: Kutokana na kuenea kwa Hadiyth?

Ibn Baaz: Aashirie kwa mkono wake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23337/ما-كيفية-رد-السلام-حال-الركوع-او-السجود
  • Imechapishwa: 29/12/2023