Adhkaar za wakati wa kulala kuzisoma mchana

Swali: Adhkaar za wakati wa kulala zinasomwa usiku na mchana?

Jibu: Haikupokelewa isipokuwa katika usingizi wa usiku.

Swali: Mtu akilala usingizi wa mchana masaa tano au sita asisome Adhkaar za wakati wa kulala?

Jibu: Hapana neno akizisoma. Yote ni kheri tu. Hata hivyo imepokelewa kuhusu usingizi wa usiku. Hapana vibaya akifanya kitu juu ya usingizi wa mchana.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23338/هل-تقال-اذكار-النوم-في-الليل-والنهار
  • Imechapishwa: 29/12/2023