Swali: Wamezowea watu wengi wakati wa ndoa wanatuma kadi za mwaliko. Je, zinamlazimu mtu pindi zinapomfikia?
Jibu: Akimfikishia hapana vibaya, haidhuru.
Swali: Je, analazimika kuitikia mwaliko akipewa kadi hii?
Jibu: Ndio:
“Akiitwa mmoja wenu aitikie.”
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23608/هل-تجب-اجابة-الدعوة-التي-تصل-بالبطاقات
- Imechapishwa: 24/02/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Kuitikia mwaliko wa kadi za ndoa
Swali: Ni lazima kwa mtu kuitikia mwaliko wa kadi za ndoa? Jibu: Ndio. Kadi ya ndoa ikija na jina lako basi wewe ndiye mwalikwa.
In "Karamu ya ndoa (walima)"
Mwaliko wa chakula pekee ambao ni lazima
Swali: Ni ipi hukumu ya kuitikia mwaliko wa chakula, kwa mfano wakati wa mwaliko wa chakula kwa ajili ya kufaulu mtihani au kuhitimu? Jibu: Sio lazima kwenda katika mialiko hiyo. Kuitikia mwaliko wa chakula mbali na mwaliko kwa ajili ya harusi sio lazima.
In "Karamu ya ndoa (walima)"
Ili iwe ni lazima kutikia mwaliko wa walima
Swali: Ili iwe ni wajibu kuitikia mwaliko wa karamu ya ndoa, baadhi ya wanazuoni wameshurutisha mwalikaji awe muislamu. Je, sharti hii ni yenye kuzingatiwa? Jibu: Ndio. Akiwa ni kafiri hana haki yoyote juu yako.
In "Karamu ya ndoa (walima)"