Kuitikia mwaliko wa harusi kwa njia ya kadi

Swali: Wamezowea watu wengi wakati wa ndoa wanatuma kadi za mwaliko. Je, zinamlazimu mtu pindi zinapomfikia?

Jibu: Akimfikishia hapana vibaya, haidhuru.

Swali: Je, analazimika kuitikia mwaliko akipewa kadi hii?

Jibu: Ndio:

“Akiitwa mmoja wenu aitikie.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23608/هل-تجب-اجابة-الدعوة-التي-تصل-بالبطاقات
  • Imechapishwa: 24/02/2024