Swali: Chakula cha karamu ya ndoa inakuwa msikitini?

Jibu: Hapana vibaya haja ikipelekea kufanya hivo. Ni kama ambavo anakula anayefanya I´tikaaf. Mwenye kufanya I´tikaaf anakula msikitini.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23607/حكم-العقيقة-والوليمة-في-المسجد
  • Imechapishwa: 24/02/2024